Friday, March 23, 2012

cakes cake cakes........mapishi

Habari za leo wadau wa tzcakes,
tutakua tukiwaletea maelezo ya namna ya kupika cakes za aina mbalimbali;
kama mjuavyo kijiwe chetu hiki ni kwa ajili ya cakes na mambo yanayohusu cakes tu..
so kila siku ya jumatatu na ijumaa tutajifunza aina moja moja ya cake na jinsi ya kuipika..
karibuni sana tujifunze na tufurahie maisha..... 

No comments: