Wednesday, February 29, 2012

Siku ya Wanawake Duniani

Siku ya Wanawake Duniani ipo just around the Corner!!
Umeplan Kumpamper vipi that special woman in your life? 

Awe Mama,  Friend, Boss, Teacher, Wifi, Daughter, au  Dactari wako.........;
Mwoneshe unamjali kwa kipande cha cake!!...can say it all.....

...........Tumeandaa Special Women's Day Cakes.......
Order Now for that Special Woman In Your Life.....
Wasiliana nasi (0658-344100 au 0718-733318) or email us (tzcakes@yahoo.com)

5 comments:

Anonymous said...

mi ntanunua kwa ajili yangu mwenyewe,yeah am proud of maself!

Anonymous said...

Hizo keki shingapi? Nikitaka kuchagua inakuwaje?

Cakes said...

Bei zinaanzia Tsh.15,000/ mpaka Tsh. 35,000/ kwa cake moja....Bei inategemea ukubwa wa cake;...ukitaka kuchagua aina na size ya cake tafadhali wasiliana nasi kupitia 0718-733318/0658-344100 au email tzcakes@yahoo.com

Tutimagreth said...

wow I hav lovd the blog dear!
Well i nd cup cakes for weekend i'l cal you.

Cakes said...

Thanx Tutimagreth, Karibu sana